Wakiwa Katika Dimba la Ugenini bet365 Leicester City Walianza Kufunga Bao la Kuongoza Katika Dakika ya 33 Kupitia Kwa Vicente Iborra ,Hata hivyo Xherdan Shaqiri aliisawazisha Stoke muda mfupi tu baadaye , Riyad Mahrez alirejesha wageni kuongoza katika dakika ya 60 baada ya Kumuhadaa Kipa wa Stoke City Jack Butland.
Peter Crouch Akitokea Benchi Katika Dakika ya 69 Akaisawazishia Goli Stock City Katika Dakika ya 73 kutokana na Mpira wa Kona Uliopigwa na Shaqiri.
Tazama Hapa Magoli Yote ya Stock City dhidi ya Leicester ( 2-2 )



No comments:
Post a Comment